Habari wana jamvi. naombeni ushauri.im a single mum,My daughter is 3years old, nataka kumpeleka shule ya bweni kindergaten.Mnanishaurije?Sababu ya msingi, naishi bush(kikazi), hakuna shule nzuri, pili, wasichana wa kazi hawakai maana huku ni kuna wanaume wengi mno ukileta house maid baada ya...