Al-Shabaab inatolewa katika Jihadi na wanazuoni kwa kuwa,imejihusisha na mashambulizi yanayolenga raia, kinyume na mafundisho ya Kiislamu yanayokataza kuua wasio na hatia.Pia,Al-Shabaab na makundi mengine kama hilo yanapinga serikali halali za Kiislamu kinyume na mafundisho ya Uislamu...
Aya hii inazuia na kukataza urafiki wa ndani au wa karibu lakini haihamasishi chuki dhidi yao.
"Musa bin Jafar alieleza kuwa Mtume ﷺ alifundisha: 'Msaidieni wale wasiokuwa Waislamu, kama wanahitaji msaada wakiwa na shida, na kutendewa wema kwao, kwa sababu katika wao kuna watu wanaotafuta...
Uislamu ni dini ya amani na haikufundisha chuki au ubaguzi. Uislamu unasisitiza umuhimu wa kuelewa na kufuata mafundisho sahihi ya dini, na wala siyo kueneza chuki au kuvuruga amani. Uislamu unasisitiza sana elimu, kama alivyosema Mtume ﷺ: "Kutafuta elimu ni faradhi kwa kila Muislamu." Hivyo...
Mitihani imetokana na hikima ya Allah ambaye ameumba kila kitu kwa makusudi. Allah hakupungukiwa na kitu wala hakulazimika kutuumba kwa sababu ya kitu chochote, lakini alifanya hivyo kwa mapenzi Yake. Dunia ni mahali pa mtihani ambapo kila mmoja anapewa nafasi ya kuchagua imani na kufanya...
Mkuu,Allah ameumba watu kwa hikima na kwa makusudi ya kuwapa uhuru wa kuchagua. Dunia hii ni mahali pa mtihani, na kila mmoja anapewa nafasi ya kuchagua imani na matendo yake. Allah ameumba watu na mitihani ya maisha, ikiwa ni pamoja na matamanio, na ndiyo maana Jihad ya nafsi inahitajika ili...
Mkuu,Osama bin Laden, yeye si mwanazuoni wa Kiislamu, na ujuzi wa mtu haupimwi kwa jina lake bali kwa elimu sahihi kutoka Qur’an na Sunnah.
Hata kama yeye amejenga huo msikiti haimaanishi kuwa ndio atakuwa na Ilmu kubwa pia,hata kama akawa na Ilmu kubwa hiyo haimaanishi kuwa lazima kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.