ni r
ni rahisi mkuu. Inategemea na riba hiyo inakatwa wapi kwenye mkopo unaobaki au kwenye mkopo wa mwano
mfono (kwenye mkopo unaobaki)
nakopa 10m riba 17% kwa mwaka, muda wa mkopo miaka 5
soln
riba mwaka 1 = 10,000,000 x 17/100 = 1,700,000
mkopo unaobaki = 10,000,000 - 1,700,000 = 8,300,000...