Recent content by Dhengo

  1. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tatizo la Afya ya Akili linapaswa kuchukuliwa kwa umakini ili kuokoa maisha ya vijana

    Thanks bro..shida hii ni kubwa naamini kama kijana amewahi pitia hii anaelewa, atajifunza kitu na atakua tayari kupokea elimu..Sasa ndo mifumo pia itusaidie kuokoa vijana wenzetu
  2. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mifumo ya kielektroniki iboreshwe ili ifanye kazi kwa ufanisi

    Matumizi ya mifumo ya kielekroniki katika taasisi mbalimbali za serikali yamekua na matokeo mazuri hasa kwa upande wa kupunguza msongamanokupunguza rushwa na hata pia kwenye suala la ukusanyaji wa mapato imerahisisha. Lakini pamoja na mafanikio hayo mifumo hii ya kielektroniki Kuna muda...
  3. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tatizo la Afya ya Akili linapaswa kuchukuliwa kwa umakini ili kuokoa maisha ya vijana

    Afya ya akili ni ule uwezo wa mtu kuweza kuendana na Hali ya maisha ya Kila siku kuanzia kufiri Hadi utendaji wake wa kazi. Inapokuwa ni tatizo la afya ya akili,hapo akili inakua imeathiriwa mfumo wake wa utendaji kazi,mfumo wa maisha na hata tabia hubadilika. Tatizo hili limekua ni mwiba kwa...
Back
Top Bottom