Huyu kajazwa upepo wenzake mwanzoni uwa wanaziachia hadi mwisho ili mtu ajue uandishi wake uko vzur umaliziaj wa stry zake ukoje je mashabiki wameelewa kazi zake kwa ukubwa gan sas stry yenyewe moja wamemjaza upepo auze aya ajiuzie sas kuna waandshi wabora sana
Hapo wala kunakua hakuna ubaya maana inakua inajulikana kuwa mwenzetu anachangamoto hivyo hakuna atayelaumu
Wazungu wanatuzidi maendeleo si kwakua wao ni bora kutuzidi hapana ila wanaheshimu muda na makubaliano
Story nzuri sana na uko vzuri kwenye uandishi katika mafanikio yoyote audience wako ni muhimu kuliko chochote kile inawezekana wasikulipe pesa lakini wakakusimulia kuna mwandishi anaitwa singano hvo ikakuza jina zaidi na zaidi ushauri ni kuwa mwaminifu katika muda ni heri uhaid baada ya mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.