Recent content by Device frabius

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki ya mkataba

    Yaani namaanisha pikipiki ambayo ahiitaji marekebisho iwe nzima kilakitu nikuweka mafuta tu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya Bolt ya hesabu

    Ndio ninayo kilakitu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki ya mkataba

    Kunanini apo
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya mkataba au hesabu

    Habari, Naitwa Device frabius ninamiaka 29,nakaa dar es Salaam Mikocheni natafuta gari Kati ya IST,RAUMU,SPACIAL AU WISH. Kwaajili ya kuwaendesha Waturuki kwa mkataba wa mwaka mzima. Namba yangu 0617146950
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki ya mkataba

    Habari, Naitwa device frabius mkazi wa Dar es Salaam Mikocheni natafuta pikipiki mpya iliyosimama kwa mkataba Kwa siku 10,000/= ikiwa boxer itapendeza zaidi, nahitaji kwasababu ya Bolt. 0617146950
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva natafuta kazi

    Naitwa device frabius, naishi dar es Salaam mbezi mwisho. Mimi ni dereva nilikua nawaendesha wazungu ila mkataba wao umeisha wamerudi kwao saivi sinakazi natafuta gari ya kuendesha bolt au Ata kama kuendesha mtu yoyote . Nashukuru sana .0617146950
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya Bolt ya hesabu

    Naitwa Device Frabius, natafuta gari ya bolt nakaa MIKOCHENI Namba yangu 0617146950
Back
Top Bottom