Habari za wakati huu wanaJF.
Ningependa kuanzisha mjadala kuhusu suala la mikopo ya biashara nchini Tanzania.
Biashara nyingi zinaanza vizuri lakini zinapofika hatua ya kupanuka, wamiliki hukutana na changamoto ya mtaji.
Baadhi wanahitaji kuongeza bidhaa, wengine wanataka kununua vifaa vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.