Recent content by Desktop

  1. D

    JamiiForums Tanzania WACHUNGAJI KKKT WASHTUSHWA UCHAFU WA VYOO VYA CHUO KIKUU (UDOM)

    Pole sana kwa changamoto hii. Pamoja na kwamba wanachuo nao wanahitaji mazingira safi na salama, lawama zangu nazielekeza kwa waandaji wa mkutano. Hawakujiridhisha na mazingira kama yanafaa kwa ajili yenu wachungaji? Uwepo wenu kwenye mkutano ni hisani kwamba hamuwezi kupata sehemu nyingine...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Heche: Muulizeni Mbowe viongozi wa CHADEMA wasingemtembelea gerezani angejisikiaje?’

    Sahihi kabisa. Walipokea uongozi wa chama kutoka kwakwe, walitakiwa kuendeleza na si kumlaumu Mbowe kwamba aliwachelewesha. Wanasikika mara kwa mara kwamba wao hawafanyi siasa za udalali kana kwamba mtangulizi alikuwa dalali. Kwakuwa wao ni radicals waendelee na mapambano ili tuone matunda...
  3. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Napinga ushauri wa THRDC wa kuitaka CHADEMA izungumze na Serikali

    Nipeni barua ya utambulisho na umma upate taarifa kwamba nawawakilisha.
  4. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Napinga ushauri wa THRDC wa kuitaka CHADEMA izungumze na Serikali

    Uchaguzi wa 2025 haukuwa wa kwanza na si wa mwisho. CHADEMA wameshiriki chaguzi nyakati zote katiba na sheria zikiwa zilezile. Kwamba kwa kuwa hawakuwa tayari kuzungumza kabla ya uchaguzi si sababu ya kutokuzungumza baada ya uchaguzi. Nchi ni ya mfumo wa vyama vingi. Mmoja kususa hata kama...
  5. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Napinga ushauri wa THRDC wa kuitaka CHADEMA izungumze na Serikali

    Kama wewe ni mkristo soma kitabu cha Ayubu maana inaonekana unamjua shetani kuliko Mungu.
  6. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Napinga ushauri wa THRDC wa kuitaka CHADEMA izungumze na Serikali

    Mazungumzo hayakwepeki. Hata wanaopigana wanazungumza. Kukubali kuzungumza si udhaifu.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Serikali inafanya tathmini ya Tamko la Jumuiya ya Madola kuhusu Lissu, tutawapa majibu

    https://thecommonwealth.org/our-member-countries
  8. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Vyama vyote vya upinzani vilipaswa kuungana kususia uchaguzi kudai reforms

    Kwa idadi ya vyama vya upinzania si tu walitakiwa kuungana kudai reforms bali kuwa na chama chenye nguvu kukabiliana na watawala. Reforms zinaweza kuwepo na mkaishia kugawana kura, sina hakika kama chadema pekee wanaweza kushinda nusu ya majimbo ya uchaguzi hata kama wao ndio watajigeuza kuwa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Manguli wa uchambuzi waendelea kumpumulia Polepole, Majjid Mjengwa naye asema gesi ya Tanzania ni bei rahisi kuliko Cuba

    Yapange yoooote aliyosema kwa kuzingatia faida.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Manguli wa uchambuzi waendelea kumpumulia Polepole, Majjid Mjengwa naye asema gesi ya Tanzania ni bei rahisi kuliko Cuba

    Kutokukomalia mengine hakuondoi uhalali wa kukomalia la bei ya gesi.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Leo "Live" za mikutano ya kampeni ya CCM huko mitandaoni hazifikishi hata Viewers 100

    Mara nyingi wanaofuatilia upinzani hawana alternative lazima kuingia kwenye mitandao ya kijamii. Habari za ccm zinarushwa kwenye TV ambako mtazamaji halipi. Upinzani una mashabiki wengi ambao si loyal. CCM inasafirisha watu kwa sababu inao na inajua wanapoishi.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya CHADEMA Kuandika Barua UN, US, EU, AU, EAC ni sawa na kupaka rangi upepo.

    Ni wazi hapakuwa na mkakati wa kuzuia uchaguzi. Kinachofanyika ni kuweka kumbukumbu kwamba walijitokeza kupigania haki hata kama mbinu waliyochagua haikuwa inatekelezeka.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Aliyepata 1% amuangusha aliyepata 56%, Hii maana yake Wajumbe hawana lolote mbele ya Wenye Chama

    Kama Kama kazi ya kamati kuu na H/K ni kupitisha kila kilicholetwa toka kwa wajumbe hakuna sababu ya wao kukutana.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Pole Pole amegundua watanzania bado wajinga kwa hiyo anafanya Political Manipulation

    Nakubaliana na wewe. Tupunguze ujinga wetu kwa kusoma, tutafute na kujiongezea maarifa. Vitabu vipo na machapicho mengine yapo. Udanganyifu kwenye chaguzi umekuwepo wakati mwingi. Sokoine alipochaguliwa kuwa mbunge 1965, mchango wake wa kwanza bungeni alizungumzia mambo matano, na matatu ya...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole kesho Agosti 21 kuongea na taifa ikiwa maoni yake hayatafanyiwa kazi

    A Amenikumbusha mchezo wa utotoni (mtu na mdogo wake) usipofanya hiki nitakusema kwa baba/mama. Mwambie aache utoto.
Back
Top Bottom