Recent content by desile

  1. D

    Mbona kada ya Computer System Analyst hawajaitwa kazini

    nilienda ofisi ya mwanasheria mkuu siku moja kabla hawajatangaza hayo majina kwenye site nikaambiwa kwa sasa hawaajiri CSA, yule HR akaniambia nenda secretariat nilipofika wakaniambia watu kada yetu hawajapangiwa bado. so kuna sitofahamu kati ya hzi ofisi mbili
  2. D

    Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    acha tu jaman hapo nimeamin kupata kaz ni kaz nyingine
  3. D

    Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    anaejua lolote kuhusiana na interview za uhamiaji atupe mwanga maana sielewi interview ya tar 13 pale uwanja wa taifa itakuwaje. kama ni kuruka kichura na kukimbia tuambizane tuanze mazoez mapema jaman. naomba msaada wenu jaman
  4. D

    Uhamiaji vipi jamani?

    cha msingi tusiilaumu serekal kwa sababu kila kitu kinaenda kulingana na mipango waliojiwekea. yawezekana bado siku ya kutoa hayo majina haijafika kwa hyo tuwe na subira ndugu zangu tuiamin serekal yetu tusiwe na jazba kwa mambo ambayo tunayajua yanatekelezwa kulingana na mipango.
Back
Top Bottom