Muislam amemuua ndugu yake Muislam! subhanallah, tena ametoka msikitini kuswali swalaatil fajr maskini. Kuna watu imani hawana, huruma hawana, wanatanguliza maslahi mbele, na yote ni mambo ya dunia, yupo tayari kuuwa kisa tu 500/=
ayat 33 from Surah Al-Isra
﴿وَلَا تَقْتُلُوا النَّفْسَ الَّتِي...
Kukata miti bila kibali hairuhusiwi
Polisi kuchukua na kwenda kutumia na familia zao hiyo pia haiko sawa.
Ili likome hili basi washushe bei ya gesi, utaona kama wanakata miti na kuchoma mkaa kinyemela.
In short, sisapoti pande zote....kwa police na raia
Ukiishi na waislamu/waarabu utastaarabika. Sasa wewe unaishi sijui na jamii gani hapo hata nguo tu ya kulalia una hoji! Kweli!! Kuoga pia unaona ajabu!!
Katika Uislamu, mtu asiyekubali au kukataa kuingia katika dini hii na akafa katika hali hiyo, haitokubaliwa kwake dini nyingine mbele ya Mwenyezi Mungu, na kesho Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara, kama inavyoelezwa katika Qur'ani Tukufu (Surat Aal-Imran: 85).
Msimamo wa Uislamu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.