Hongereni Dar es Salaam kwa kuanza kudhibiti kelele za baa zilizopo karibu na makazi ya watu.
Naomba mamlaka husika ziangalie pia hali ya SK Bar & Grill iliyopo Mitimirefu, Mwanza, mkabala na Shule ya Sekondari Pamba pamoja na Hospitali ya Aga Khan, eneo ambalo pia lina makazi ya wananchi.
Baa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.