Robo karne ijayo Tanzania itakuwa katika nafasi bora ya kiuchumi hili ni jambo la kutia moyo.
Hakuna jambo jema likosalo changamoto zake, changamoto kubwa wa ukuaji wa uchumi ni ongezeko la watu wenye maradhi yasioambukiza na ongezeko kubwa la vifo vinavyotokana na maradhi yasioambukiza NCDs...
Hakuna maisha bora na ukuaji sahihi kwa mtoto kama kuwa karibu na mama, baba na nduguze wakati wa ukuaji.
Kumbukumbu nyingi, hali ya kujiamini, kuona mapenzi ya hali ya juu ya wazazi katika umri huu mdogo unaemjenga mtoto kuwa mwenye furaha na mapenzi kwa nduguze, wazazi, majirani na kuthamini...
Afya ya akili na mitandao ya kijamii haiwezi kutengenishwa kwa karne ya 21, na ni jambo muhimu ambalo linapaswa kupewa uzito unaostahiki na watu na wataalamu wa afya ya akili.
Katika nchi zilizoendelea inaonesha vijana wengi wanaathitrika sana na idadi ya watu wanaowafuatilia katika mitandao...
VIJANA TUNAWEKA AKILINI SANA MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA KITANDANI TU ILA TUKUMBUKE MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA NJE YA KITANDA NI MAKUBWA NA YANAHITAJI MUDA MREFU ZAIDI KULIKO YA KITANDANI SABABU DAIMA TENDO LA NDOA LINA ATHARI ZA DAIMA KWENU NA KWA WATOTO WENU.
"Natamani nikipata mtoto...
Umeme ukikatika tunasubiri kwa dakika 5 tu labda utarudi sababu ni kawaida ya nchi yetu, na baada ya dakika 5 umeme haujawaka, tunajaribu kutafuta taarifa kama shirika la umeme lilitoa tangazo juu ya umeme kukutika leo.
Unaitafuta TANESCO ubungo katika mitandao ya kijamii, ila inakuja tanseco...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.