Habari waungwana,
Naomba mtu mwenye uzoefu au ujuzi wowote kuhusu biashara ya Car wash anisaidie kupata udadavuzi wa biashara nzima kwa ujumla kuanzia mtaji, maeneo, mashine zinazohitajika na jinsi inavotakiwa kufanyika…Ahsanteni
Jamani salama umu ndani,
Ebhna mi nina milioni 5 zangu, natafuta biashara ya kufanya ili niweze kuizalisha hii pesa iingie kwenye mzunguko.
So natafuta wazo la biashara ambalo linaweza kuwa zuri, kuendana na huu mtaji. Nipo Dar es Salaam wakubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.