Jana nikiwa kwenye mwendokasi nikitokea morocco,nikapokea simu ya client mmoja anamiliki duka la simu na computer hapo posta. Anazo pesa kwelikweli. Simu ilikuwa ya wito wa kazi ya kudesign na kudevelop web kwa ajili ya biashara yake. Nilishuka kisutu nikaprint kwa mguu kwenda ofisini kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.