Recent content by DEREVA WA UDA

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sheria kwa madereva wa UDA

    Hao cotwu walikuja halafu wakaingia mitini.sasa sijui walikatiwa kitu kidogo wakae kimya au walipigwa mkwala waache kufatilia mambo ya watu. Wote hatufahamu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sheria kwa madereva wa UDA

    Asante balacuda kwa kujumuika na mimi.Hesabu ni sh200000.Hela ya kuosha gari ni sh5000 na mafuta ujaze.na mafuta kwa siku unaweza ukajaza ya sh 165000 kwa hiyo jumla kama sh 370000.mshahara wetu ni sh150000 ukikatwa nssf inabaki sh 135000 ukipiga pasi gari mshahara hakuna wote wanakata.magari...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sheria kwa madereva wa UDA

    Kwasababu ya usingizi ukitaka kujue tuchunguze kwenye foleni au trafic right gari ikisimama kama dakika mbili lazima usinzie hapo unamtegemea konda akuamshe.akiwa bize abilia lazima utasikia oyaa! We dereva vipi?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sheria kwa madereva wa UDA

    Mimi ni dereva wa UDA.kwa niaba ya wenzangu nimeona nijitokeze ili tupate msaada wa kisheria kwa mambo yafuatayo (1)Tunaendesha magari kwa saa 18 mfululizo siku mbili halafu unapewa siku moja ya kupumzika.nina maana ukianza kazi saa 11 alfajili mpaka saa 4:30 usiku mpaka ukajaze mafuta na kulipa...
Back
Top Bottom