Mimi ni mteja mpya Niki kibaha nimelipa invoice ya ah 234100 tarehe 12/12/2017 lakini baada ya kurudisha fomu naambiwa ntajulishwa ili nifuate vifaa bohari yenu ya mlandizi Je hii ni sawa maana mi Niko hapa hapa mkoani sasa kwanini unisumbue mimi mteja kufuata Vifaa .????
Je nihalali mteje baada ya kulipia invoice mteja kufuata Vifaa vya kuunganishia Maji (New connection) Kufuata store. Mimi ni mteja niliyelipia huduma hiyo tarehe 12/12/017 baada ya kurudisha ile invoice naambiwa ntajulishwa siku ya kufuata vifaa vya kuunganishiwa Maji kwenye store iliyoko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.