Recent content by Deodravis

  1. Deodravis

    Ukweli mtupu kuhusu Wizara ya Fedha baada ya kusikiliza bajeti ya Wizara hiyo

    BAADA YA KUSIKILIZA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA LEO NIMEGUNDUA MAMBO MATANO MAKUBWA. Na wengi huenda huwa tunaitupia bure mawe wizara hii. Kivipi? JITAHIDI USOME UZI HUU MPAKA MWISHO. [emoji1545] Kati ya wizara ambazo zinapigwa mawe nchini basi wizara ya fedha inaongoza. Kwa sababu ndio...
  2. Deodravis

    SoC02 Mzigo mliomtwika Mama Tanzania ni mkubwa mno

    Na Deodravis Mtume Yohana Alizoea kusimama katikati Yao bila woga aliwapinga hoja zao, aliyekuwa msaidizi wake akiwa kusini, mtendaji wake mkuu akiwa kasikazini, basi yeye atakuwa magharibi. Kila kitu upande wake kilikua demokrasia inayokuja kisha inakataa. Lakini mama Tanzania Wengi walisema...
Back
Top Bottom