Recent content by Denisam

  1. D

    Nafasi ya Kazi: Msimamizi wa Baa (Bar Supervisor) – Mafinga, Iringa

    M/s Eighteen Plus BBQ & Lounge inatangaza nafasi moja (1) ya kazi ya Msimamizi wa Baa (Bar Supervisor) katika biashara yake ya John's Conner iliyopo Mafinga Mjini, Mkoa wa Iringa. Mwombaji atakayefanikiwa atakuwa na jukumu la kusimamia shughuli za kila siku za baa, wafanyakazi, mauzo na...
Back
Top Bottom