Ni kwa miaka kadhaa mchezaji wa Real Madrid Kareem Benzema amekuwa akiwapigia makofi na kuwapongeza wachezaji Lionel Mess na Cristiano Ronaldo walipokuwa wakichukua tunzo za Ballon D'or.
Lakini mwaka huu 2022 tunzo ya Ballon D'or imekwenda kwa mchezaji Kareem Benzema, na anapigiwa makofi na...
Hivi karibuni tumeshuhudia mashabiki wa Yanga Sc pamoja na viongozi wakiwa wamekua kisoka hususani pale timu yao inapopoteza mchezo mashabiki huwa watulivu na kuamini kuwa mchezo wa mpira wa miguu unamatokeo matatu kushida, kutoa sare na kupoteza.
Mchezo ya kirafiki ya Yanga Sc Vs Vipers Fc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.