Recent content by DENIS FRANCIS ELISHA

  1. DENIS FRANCIS ELISHA

    SoC02 Namna Sekta ya afya inavyoweza kuleta tija katika Taifa (Ajira, Uchumi na Afueni Katika Matibabu)

    Karibuni jamani tusome andiko langu na tutoe michango yetu kwa manufaa ya taifa letu. Tusisahau kupita kura.
  2. DENIS FRANCIS ELISHA

    Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Kama Kuna anayejua anisaidie mm nimechapisha andiko langu ila silione tena msaada tafadhari
  3. DENIS FRANCIS ELISHA

    SoC02 Serikali itoe vibali na usajiri kwa vikundi binafsi vya kutoa huduma za afya

    UTANGULIZI; Kutokana na kuwepo kwa wimbi kubwa la ukosefu wa ajira kwa wasomi wenye taaluma mbalimbali katika kada za afya, maono yangu ni endapo serikali itaamua kuchukua hatua ya kutoa vibari kwa vikundi au jumuiya za watu wenye taaluma mbalimbali za afya inaweza kupunguza wimbi la wasomi...
  4. DENIS FRANCIS ELISHA

    SoC02 Namna Sekta ya afya inavyoweza kuleta tija katika Taifa (Ajira, Uchumi na Afueni Katika Matibabu)

    UTANGULIZI Sekta ya afya ni sekta yenye wadau na wahitaji wengi lakini bado imeonekana kutokuwa na tija katika maendeleo ya taifa na watu wake kwa ujumla Ili hali watumiaji na wahitaji ni wengi. Hii inatokana na kutokuwa na mipango mizuri na madhubuti katika sekta hii muhimu. Kwa kuliona na...
  5. DENIS FRANCIS ELISHA

    Uzinduzi wa Awamu ya Pili ya Shindano la Stories of Change(2022)

    Habari wadau, ni Imani yangu kuwa wote humu tuna tamani sana kuona mabadiliko yakitokea ktk familia, jamii na taifa letu kwa kulitambua ilo nawakaribisha sana kusoma andiko langu lililo jikita ktk sekta ya afya hasa likionesha ni namna gani watu wenye nafasi wakiazitumia vizuri tunaweza kupata...
Back
Top Bottom