Recent content by DENIS 72

  1. D

    JamiiForums Tanzania Jkt postponement

    sijaona hiyo kitu nimeingia now
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mmmh..? SELIKALI YETU BWANA [tcu na jkt]

    amna kitu cha namna hiyo coz ajira hizo zitakosekana serikalini tu na sio private sector ,mfano mzuri ni mzee wangu alisoma kipindi kile jkt iko serious but hakwenda na anafanya kazi katika shirika la serikali .Tanzania yetu ya leo ya rushwa mtu aende kuomba ajira aombwe certificate ya jkt hayo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa uchumi,weka neno la kiuchumi ambalo huwezi kulisahau..

    marginal propensity to consume
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo - elimu ya juu

    we unaesema lazima upate mkopo angalia aibu isije ikakudondokea
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaongoja boom

    hizi taharifa mnazipata wap coz amna sehem yoyote ambayo wametangaza au kuweza hiyo taharifa .sasa muungwana we ni mfanyakazi wa bodi ama ?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Jkt

    wanarudi tarehe 22 .asante
  7. D

    JamiiForums Tanzania HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

    member tusaidiane haya majina anayoyaongelea mi sijayaona .yanapatikana wapi?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali wanajf.

    fanya mchakato wa kuongea na TCU kwani uliapply kipi kati ya hivyo?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa IFM tufahamiane hapa jamani!!

    we aunt yanakuhusu nn wakifahamiana unawashwa nn
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tumaini dar.

    www.TUDARco.ac.tz me nimewapigia wakasema wenyewe awataweka mtandaoni mpaka TCU waweke so ukitaka kuangalia unaenda chuo kwenye ubao wa matangazo wameweka hapo
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mzigo wa TUDARCo bado..?

    kiongozi naomba unichekie ANGEL MAKOYE mtandaoni siyaoni
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa IFM tufahamiane hapa jamani!!

    ndo mimi denis banking and finance
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tumaini ya dar vip .msaada

    basi ntavuta subira young k
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tumaini ya dar vip .msaada

    Members tumaini dar mmeona post au bado?
  15. D

    JamiiForums Tanzania haya sasa wale wa tcu!!!

    na mwingine kathibitisha iko right which is which
Back
Top Bottom