Recent content by Democracy Tanzania

  1. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashiriki ibada ya Pasaka, awataka watanzania wamuombee

    Pasaka njema watu wangu msitusiane kwani sisi sote ni ndugu watoto wa baba mmoja.
  2. D

    JamiiForums Tanzania SABC NEWS: Magufuli kutoka Rais apendwaye mpaka kuwa dikteta!

    MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU.
  3. D

    JamiiForums Tanzania SABC NEWS: Magufuli kutoka Rais apendwaye mpaka kuwa dikteta!

    NA KWELI LAKINI BIBI YANGU ALIKUWA AKISEMA KILA KITU KINA MWISHO NA HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA, SASA HATA ******** NA DAUDI BASHITE WANAMWISHO WAO USICHEZE NA MANUNGUNIKO YA WATU NI LANA KALI SANA.
  4. D

    JamiiForums Tanzania SABC NEWS: Magufuli kutoka Rais apendwaye mpaka kuwa dikteta!

    SIYO KWELI BWANA SABABU KUBWA NI KUWANYIMA WATU UHURU WA KWELI NA ZAIDI KUTOKUBALI KUSHAURIKA. BABA JESKA HAAMBILIKI KASHA SEMA YEYE MWENYEWE.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli atawakata wengi 2020, wafuatao waandae kwa kukimbilia mapema

    ok Asante sana kwa maelezo yako namfahamu mama Mbega ni mtu poa sana ila siasi ndiyo hivyo. Mama Mbega ni mtu mnyenyekevu sana.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli atawakata wengi 2020, wafuatao waandae kwa kukimbilia mapema

    January na Mwakyembe hawatakaa wawe maraisi wa TZ wameonyesha ni wadhaifu katika kusimamia ukweli. Yaani waziri mwenzenu anatishiwa bastola nyie mme kausha tu kama dagaa wa Kigoma.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli atawakata wengi 2020, wafuatao waandae kwa kukimbilia mapema

    ????????????????????????????????????????????yetu macho na masikio bro.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli atawakata wengi 2020, wafuatao waandae kwa kukimbilia mapema

    Aisee what you are about to do?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli atawakata wengi 2020, wafuatao waandae kwa kukimbilia mapema

    Ilikuwaje kwani?
  10. D

    JamiiForums Tanzania FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

    Matendo haya ya kishenzi yanafanywa na mkulu mwenyewe akishiriana na litoto lake jambazi lililokubuhu libashite
  11. D

  12. D

  13. D

Back
Top Bottom