Recent content by Deltacoy

  1. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kikwete Babaaa Coy inajieleza😆😆
  2. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Afande veno.. ruti embakasi, magagula fatiki ya kuzima moto. 😆😆 Kwata lina pigwa usiku huku iveco imewashwa taa full Prv Milito na somo la Uvumilivu Prv Asa Mwite huyo Mungu wako aje akuokoeee😂😂😂😂😂 Prv pilato mzee wa kupima joto la ardhii Prv manyama anakwambia iyo rutmach mtatembea mpaka...
  3. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Walushie Taulo wetu.. kipndi kitaeleweka taratbu hakuna haja sana😆😆
  4. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kama una mbanga wakueleweka fanya mapema mpange.. mzigo wa kiangaiko soon mwakan wana funga buster..
  5. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nyosha upanga uonekane unavaanguo unaogopa kukunja mi kunjo 😆😆😆 suluali una valia ukitokea kwenye deka juu... -Mwendo wake ni kama Zombi au robot tembea bila kuharibu upangaa -Chini ukitazaa buti ina ngaa -Mkanda /belt ulivyo funga viendane na kikojoleo na vifungo vya shati 😆😆😆 Ole wako...
  6. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nakubali Mkuu😆😆 maisha yana tuforce hakuna namna unakuta we ndio tegemezi ktka familia hakika uwezi kuwa na chaguz chamsingi mkono uzame mfukon... Mungu mwema atafanya tu....
  7. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    kwata bwana lina raha yake aisee. Mwendo na blass band📯📯🎷🎷🎶 ni kisanga mnooo😂😂😂 Piga buno moja yakale utawalaaa
  8. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    😆😆 na ndio msingi wa utimamu wa Mwili.
  9. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mwenyr nacho ataongezewa 😆😆
  10. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    swala ni kujiamini nidham utiifu na weledi katika issues tu ubabe utata c swla
  11. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Safi... Good solider are born not made.. for sime case..
  12. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mkuu nilipitia doc1 nadhani uliituma siku kadhaa wananajukumu mengi 😆😆😆 kweli jamaa wakiwa serious wako smart..
  13. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    wataalamu wa mambo wana kwambia kuna aina 4 ya watu wanao ingia Jeshini(chomboni) aijalish iwe (Home affair, ofisi ya Rais au wizara ya ulinzi na usalama kwetu hapa Tz.) 01. Mtu wa kwanza niyule anae ingia jeshini kwa sababu Tu nyumbani kwao ni wanajeshi au askarii. Family background yao...
  14. Deltacoy

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Saiv chuo cha uhamiaji kilichopo boma wanakiita Raphael kubanga😆😆
Back
Top Bottom