Recent content by Delimatius Kajwahula

  1. D

    JamiiForums Naomba ufafanuzi wa kozi ya Steel (uunganishaji vyuma) Fixation katika vyuo vya VETA

    Ahsante saana nadhan wanatumia jamiiforum ni wengi ntapata majib humu humu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    JamiiForums Naomba ufafanuzi wa kozi ya Steel (uunganishaji vyuma) Fixation katika vyuo vya VETA

    Nashukur saana ndg yangu. Lakin weliding naielewa na steal fixation zinatofaitiana na japo zaweza taka kufanana ila nadhan labda watakuwa wameianzisha ck c nyingi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    JamiiForums Naomba ufafanuzi wa kozi ya Steel (uunganishaji vyuma) Fixation katika vyuo vya VETA

    Samahani nahitaji kuuliza kuna course inaitwa uunganishaji vyuma (steel fixation) kama kuna anayejua ni chuo gani nlkinatoa course hiyo hasa kwa vyuo vya veta na namna ya kufanya application. Msaada please ahsanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom