Iko vizuri sana na inanyoa vizuri bila hata kupiga kelele Original kabisa kwa wanauzijua watakubali Imetumika muda mchache Bado mpya kabisa Call & whatsppp 0764 876888 Bei ya kutupa
BEI 55,000/=
Location : Magomeni & Tabata Mwananchi
Ni original Kabisa na inanyoa vizuri sana,inafaa kwa matumizi ya salon na hata nyumban
imetumika muda mchache sana na haina tatizo lolote Bei ya kutupa 50,000/=
inauzwa kwasababu haitumiki bado mpya
call & whatsapp 0764 876 888
ORIGINAL imetumika miezi 3 bado mpya kabisa inanyoa vizuri sana bila tatizo,inafaa kwa matumizi ya nyumban na salon inauzwa kwasababu haitumiki Call/whatsapp 0764 876888 Dsm
Bei 55
Nzuri sana hazina tatizo lolote muonekano mzuri na zinagandisha pia
bei ya offer 130,000/= kwa kila moja zipo mbili ZEC & INVETOR
call & whatsapp 0764 876 888
wahi faster
Hakuna mwenye Shida na connection zenye dharau ja matusi Rizki anapanga MUNGU pekee sio binaadam pia sipo tayari kwa dharau hizo hata kwa connection zako
Shukran kwa dharau zako si nimeandika CV za softwers nazo2mia hapo au umejickia 2 kuja kucomment ufala kwenye post yangu pengine huna hata unachokijua umeambiwa mm dj softwear acha ufala
Ni muajiriwa wa tv/radio station kampuni flani,napenda sana mziki nataka baada ya majukumu mengine nifanye kitu kingine nachokipenda ambocho naamini kipo kwenye damu yangu muda wote mpaka home nina home studio kwa ajili yangu ya kufanya mazoezi ya video mixing.natafuta kazi ya Night club kua Dj...
nimekuelewa kisome pia nilichokiandika ukielewe zaid.unaweza kua hata muajiriwa wa serikali labda WAZIRI WA KITU FLAN lakini mbali na ubunge unapenda KARATE pia inabd upate muda wa kufanya KARATE
Ni muajiriwa wa tv/radio station kampuni flani,napenda sana mziki nataka baada ya majukumu mengine nifanye kitu kingine nachokipenda ambocho naamini kipo kwenye damu yangu muda wote mpaka home nina home studio kwa ajili yangu ya kufanya mazoezi ya video mixing.natafuta kazi ya Night club kua Dj...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.