Recent content by deedee

  1. deedee

    JamiiForums Tanzania Howo N7 truck ni gari zuri sana

    Nasikia hizi zenye 380HP (Weichai) zina changamoto, watu wanapenda zenye 371HP, unaweza kutoa ushauri?
  2. deedee

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TRA pitieni Mapungufu ya Kikokotoo cha Kukadiria Ushuru wa Kuingiza Magari used

    Kodi ipo kwenye sheria, TRA anatekeleza tuu, hapo ni kushauri wabunge walete kitu chenye nafuu
  3. deedee

    JamiiForums Tanzania BMW X1 aka Baby BMW SUV

    Jilipue na X1 au model yeyote yenye engine hizi, Diesel engine codes N47T(N47D20C) or B47 or B57 kama Petrol engine codes B58 or B48; Maintenance::: Engine Oil: 40k per litre (LiquiMoly), filter haizidi 40k, service kms 5,000::: ukifanya service 4 kwa mwaka, 1,200,000 Tshs; ongezea na air...
  4. deedee

    JamiiForums Tanzania Nataka kubadili engine ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti

    Unahitaji msaada gani kwenye Isuzu?
  5. deedee

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari kali - BMW 320I 3 series linauzwa

    Mkuu origin ni singapore au japan? Naomba chasis number inbox
  6. deedee

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Umepata Mil 180 leo, Haitoshi kulipa Ushuru wa Range Rover ya 2024

    Tumia link mpya umvvs.tra.go.tz
  7. deedee

    JamiiForums Tanzania Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Au wananunua Zanzibar ikija hapa haina usajili
  8. deedee

    JamiiForums Tanzania Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

    Kuna uwezekano alinunua gari mbovu au poor maintanance
  9. deedee

    JamiiForums Tanzania Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

    Mkuu hata European brands wakala wapo hapa pia, mfano Landcruiser v8 1VD ukiua injectors bei itakuja huko huko 11m, kila modern automobile ni gharama sana maintanance, usione latest toyota au nissan ziko barabarani, watu wamelipia invoice za kutosha maintanance. Nimetumia baadhi ya local fundi...
  10. deedee

    JamiiForums Tanzania Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

    Mafundi wapo, hata modern Toyota zitawashinda kwa maana hiyo. Nunua kitu roho inapenda, ukiwa na wasiwasi chukua IST tuu
  11. deedee

    JamiiForums Tanzania Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

    2017 Kodi 20M, Specs Europe Diesel 2.0 Cc 2017 na 2018 model ni sawa
  12. deedee

    JamiiForums Tanzania Bmw 3series GT au 5series GT

    Mkuu usiagize gari kutoka Singapore, bei zake ni nafuu, ila cha moto utakiona.
  13. deedee

    JamiiForums Tanzania Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Kama una evidence zote, fungua kesi utashinda. Beforward wana kesi nyingi sana mahakamani za aina hiyo
  14. deedee

    JamiiForums Tanzania Zipi tamu na chungu za mimi kumiliki BMW X3

    2013 subaru engine SJ5 unaweza kuipata kwa 25m Max ( Kodi 10M, CIF 12-14M), kuliko kuchukua overpriced Toyotas
Back
Top Bottom