Recent content by dechajo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Utafanya nini ukuwa huna muda na anayekupenda kwa dhati?

    Kwa mfano mtu anakupenda kabisa na anaonyesha kweli anakupenda na wewe huna muda nae utafanyaje? Yaani anakujali na muda mwingi anakuwa anakuhitaji muonane ila wewe moyo wako haupo kwake utafanyaje hapo?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa

    Dah! Kwa kwel yanaumiza sana sometime
Back
Top Bottom