Recent content by deboramaro

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Jamani naomba mnijuze ulimaji wa vitunguu huko karatu ,inakuaje na mashamba kukodisha bei gani?na msim gani unakuwa na kilimo kizuri cha kitunguu naomben msaada na gunia la vitunguu bei gani?
  2. D

    JamiiForums Tanzania BRAND HTC DESIRE 601 8GB,4G,RAM 1GB,CPU 1.4Hz PRICE 400K

    Punguza bei tuchukue mwisho ngapi?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Inauwezo wa kutolesha vifanga wangapi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tablet zinauzwa bei powa

    Nitakutumia hakuna tatizo.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tablet zinauzwa bei powa

    Nipo Dar-es-salaam kijitonyama kwa maelezo zaid ni pm
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tablet zinauzwa bei powa

    Husika na kichwa cha habari,nauza tablets aina ya Evoq bei powa lakitatu tu anaetaka ani pm kwa mawasiliano zaidi ni mpya sio used.karibun
Back
Top Bottom