Habari, naombeni ushauri.....
Mdogo wangu amesoma Diploma of Clinical Medicine lakini alipata 2.7 GPA badala ya 3 amabyo inamuwezesha kuendelea na Degree yoyote katika course za afya. Kutokana na GPA yake kuwa ndogo, ameshindwa kuendelea na masomo ya juu.
Pia chuoni kwake hawaruhusu kurudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.