Recent content by debbrah

  1. D

    KERO Kiwanda cha Maji na Juisi na kiwanda cha Kuku vilivyopo karibu na makazi ya watu Visiga Kibaha vinasababisha uchafuzi wa mazingira

    Jamani hili jambo limeniuma sana, kuna viwanda viwili vipo sehemu moja, kiwanda cha maji na juice na kiwanda cha kuku vipo Kibaha Visiga karibu na makazi ya binadamu vimekuwa vikisababisha kero kwa wakazi maana nzi ni wengi Wizara husika ina maana hawalioni hili?
Back
Top Bottom