Recent content by Death after life

  1. Death after life

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahaaaa daah umenichekesha sana mno kwahali hij unakatisha watu tamaa.
  2. Death after life

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera sana mkuu makosa yako nimadogo madogo sana,mm sio mpenzi wa matreni kulingana namuda wakuyafanyia kazi kwakila team mmoja. Ila nikipata muda mzuri ntakutafuta ili nikuongezee sapot matren tuyapitishe kwenye tundu la sindano.
  3. Death after life

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duuh! Polesana njoo niwe nakupa odds 2 zauhakika ila tutaingia mkataba kwan tutafanya kama kazi rasimi.
  4. Death after life

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukiona hivo shtuka sana mkuu nibonge la deal ..nadeal lenyewe niww mwenywe.
  5. Death after life

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Muhindi anaanza kuamin amekushinda hata kabla yamechi kuchezwa...kuithamin pesa ndio njia pekee yakushinda kamari. Cheza jero ukitafuta buku.nakumi ukitafuta20 hapo ww namuhindi mtakua mnapiga hela zawatu kila maisha.
  6. Death after life

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dunian hakuna kitu bahati nasibu mkuu nakwahili limepelekea wa Afrika kua nyuma sana kimaendeleo.ukielewa kwann kila unapo ongeza team kua nyingi zaidi ndivo mchezesha kamari anavyokujazia hela nyingi zaidi basi usingali ongea hivo.
  7. Death after life

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji848][emoji848] huyu nimtoto au mtu mzim mzee??
  8. Death after life

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii msg makin sana sina nyongeza.
Back
Top Bottom