Recent content by De Guzman

  1. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Chuo gani kinafundisha short course za FIRE FIGHTING?

    Nisaidie tu hapa mkuu kwa faida ya wengine pia
  2. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Chuo gani kinafundisha short course za FIRE FIGHTING?

    Habari Wana JF, kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka hapo juu. Naomba taarifa kwa wanaofahamu short course yoyote ambayo ni related na maswala ya fire fighting. Natanguliza ahukrani
  3. D

    JamiiForums Tanzania Walimu wangu wananishauri nikasome BSc with Wducation UDSM. Nifanye nini?

    Mimi binafsi sikushauri kwenda kusoma ualimu wa kawaida ila unaweza kubaki kwenye fani ya ukufunzi kwa sababu tayari una msingi wa masomo ya sayansi na ualimu kwa ujumla Kivipi?---Unaweza kusomea ualimu/ukufunzi wa ufundi (VOCATIONAL EDUCATION) Katika fani yeyote Ile ya kihandisi, iwe...
  4. D

    JamiiForums Tanzania HESLB wamenipa kiasi kidogo cha ada, nifanye nini?

    Cheza BIKO mshiko nje nje
Back
Top Bottom