Voda Kuna tatizo la SMS kwenye simu yangu, yaani msg hazifiki kwa wakati na. Unaweza ukakuta msg inaingia Leo asubuhi wakati Ni ya Jana mchana!
Hili tatizo Ni la mda mrefu, toka mwezi WA 6 nlikuwa Dar na sahv Nipo Dodoma.
Simu yangu inatumia line 2, line ya pili haina shida kabisa ndo maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.