Sasa dola inashuka well lakini ktk exportation bado inaleta shida maana inashuka kila sehemu hivyo ukiuza bidhaa zako nje inabidi utumie hiyo hiyo tz sh. ambapo bei inakua bado ipo chini kwa kifupi inakua hailipi
Kwa kweli hali ya biashara imekuwa ngumu sana hasa sisi tunaotegemea kuuza bidhaa nje miez michache kabla serikali haijavamia biashara ya mahindi kwa kujifanya mnunuzi mkuu ili iwauzie zambia tulikuwa tunapeleka mahindi zambia wenyewe na ilitulipa sana maana kwacha ya zambia ilikua juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.