Recent content by DCLXVI

  1. DCLXVI

    Nilikunywa maji ya kutawazia!

    We ndo ziroooo
  2. DCLXVI

    Tafadhali kama una hasira usifungue hapa inakera mno

    chifunguiii chacha:behindsofa::majani7:
  3. DCLXVI

    Mabibi

    bibi fumu bibi kulo
  4. DCLXVI

    Omba usipate mke kama huyu...

    :smile-big::israel::flypig::loco:
  5. DCLXVI

    Hatimaye dawa ya dengue hii apa

    Dawa Ya Dengue Twanga Pili Pili Kichaa Sufuria Moja Alafu Changanya Na Maji Vikombe Vitano Kunywa Kwa Cku Mala 7 Mda Wa Cku 3 Na Nyengine Paka Usoni Kwa Cku Mala 5 Mda Wa Cku 3, Na Ile Siku Ya 4 Jichape Na ----- Kutwa Mala 5. Hapo Dengue Kwisha Habari Yake.
  6. DCLXVI

    Huyu msanii noumaa....msome hapa

    Msanii mmoja anaitwa ''KINYA'' alikuwa ana perfom jukwaan..!!! Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:- ''YEAH NI TEMBA hapa au YEAH NI CHEGE hapa...!!! Yeye akasema: "YEAH NIKINYA HAPA...!!!" Watu wakapiga kelele ''UTAZOAAA'' mwenyewe bwenge wee JE, WEWE UNGEJITAMBULISHAJE...
  7. DCLXVI

    Sikia hii

    Kuna kaka mmoja alimchukua dada mmoja na kwenda nae katika kioksi kwa ajili ya mazungumzo. Walipofika na kukaa tu katika vitu yule kaka akamuuliza yule dada, “unatumia whatsapp”, yule dada akajibu majestikale kabisa , “ndio natumia sasa sana za baridi, nimeachana na bavaria siku hizi..”
  8. DCLXVI

    Tuongee kichina

    Kyui kwao khou
  9. DCLXVI

    Mdau mpya

    Machizi mpoooo
Back
Top Bottom