Recent content by dbcooper

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu mwanafunzi atakayepata mimba

    Jamani..watoto wa kike wanakutana na changamoto nyingi hilo halina ubishi..na hizi mimba za utotoni kwa walio wengi si kwa mapenzi yao..kuna wanaobakwa..kushawishiwa na walimu au watu wa karibu,sa kwa nini wanyimwe elimu ambayo ni haki yao ya msingi?watajitambua vipi?HII SIYO HAKI!
Back
Top Bottom