Za kuamka waungwana, naomba kuuliza juu ya application kwenye vyuo vya afya. Nina mdogo wangu kaapply st. Francis certificate ya pharmacy lakini mpaka Sasa hawajatoa majibu na ukiwapigia hawatoi majibu ya kueleweka wanadai serikali imewaambia wasitishe udahili ambapo muda wa kusoma unakaribia so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.