Recent content by DAWASA

  1. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaanza msako kwa wanaojiunganishia maji kinyemela

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imefanya operesheni katika Mtaa wa Majizzo katika Kata ya Kunduchi Wilaya ya Kinondoni na kubaini matumizi yasiyo halali ya maji yaliyokuwa yakitumika katika shughuli za kilimo cha mbogamboga ambayo imeingiza hasara Mamlaka ya...
  2. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yafika Mikocheni kutatua changamoto ya Majitaka

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) imetatua changamoto ya utiririshaji majitaka iliyotokea katika mtaa wa TPDC Mikocheni na kutoa elimu juu ya utunzaji na matumizi sahihi ya miundombinu ya majitaka kwa Wakazi wa eneo hilo ambao wameunganishwa na mfumo wa Majitaka wa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA, WADAU WAKUTANA KUJADILI MABORESHO MKATABA HUDUMA KWA WATEJA

    Wadau wa huduma za maji katika Mikoa ya Dar es salaam na Pwani wamekutana kujadili na kutoa maoni kuhusu maboresho ya Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), hatua inayolenga kuongeza uwazi, uelewa na ubora wa huduma kwa wananchi. Katika...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Litwapasi waboreshewa Miundombinu ya Majisafi

    Wakazi zaidi ya 200 kunufaika na maboresho hayo Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la uboreshaji wa miundombinu ya mabomba ya maji ili kuimarisha huduma ya maji katika Barabara ya Litwapasi, Mtaa wa Taifa, Wilaya ya Temeke ikiwa ni juhudi za...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mtambo wa kisasa wa majitaka Mbezi Beach kukamilika Oktoba 2026

    Ujenzi wa mtambo wa kuchakata majitaka Mbezi Beach, uliopo Wilaya ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam, umefikia asilimia 80 na hivyo kuwa mbioni kukamilika. Mradi huo wa mfano na wa kipekee nchini unatekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa lengo la...
  6. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yawaandaa wanafunzi kulinda miundombinu ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa elimu ya umuhimu wa maji na utunzaji miundombinu ya maji kwa wanafunzi wa klabu ya mazingira shule ya sekondari Chalinze Wilaya ya bagamoyo Mkoani Pwani Lengo la elimu hii ilikuwa ni kuwaelemisha wanafunzi umuhimu wa maji...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Kidunda: Mradi mkakati wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji inaendelea kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, mradi unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), unaotekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 335. Mradi huu ni...
  8. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaimarisha ufuatiliaji wa mto Ruvu

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeongeza mikakati ya kuhakikisha uimarikaji wa huduma, ikiwa ni pamoja na kuimarisha ufuatiliaji wa vyanzo vya maji, ili kuhakikisha huduma ya majisafi inaendelea kuwa ya uhakika kwa wakazi wa Dar es Salaam na Pwani. Afisa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaboresha mtandao wa majitaka katikati ya jiji la Dar es Salaam

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, hususani eneo la Ilala na Kariakoo, kwa lengo la kuhakikisha mifumo ya majitaka inafanya kazi kwa ufanisi na mazingira yanakuwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaja na suluhisho huduma Tabata bandari na Ubaya Ubaya

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekutana na wananchi wa Mtaa wa Tabata, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, na kutoa ufafanuzi kuhusu hatua zinazochukuliwa kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji katika maeneo mbalimbali ya mtaa huo. Akizungumza katika kikao...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Pampu mpya zaendelea kufungwa Ruvu Juu, kuimarisha huduma

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) imeendelea na zoezi la ufungaji wa Pampu mpya katika mtambo wa Uzalishaji maji Ruvu Juu, zenye lengo la kuimarisha uzalishaji na usambazaji wa maji katika Mkoa wa Dar Es Salaam na Pwani. Akizungumza wakati akikagua endelevu za...
  12. D

    JamiiForums Tanzania ‎Prof. Kabudi apongeza DAWASA uwekezaji Miradi ya Usafi wa Mazingira

    ‎Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Prof. Palamagamba John Kabudi, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa hatua zinazochukuliwa katika kuboresha huduma za usafi wa mazingira, hususan sekta ya majitaka. ‎ ‎Prof...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Bilioni 1.8 kusukuma huduma za majitaka Kibaha

    Ujenzi wa mtambo wa kisasa wa kuchakata majitaka unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika eneo la Mitamba, Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani, umefikia asilimia 52 ya utekelezaji. Mradi huo wa kimkakati unatekelezwa kwa gharama ya Shilingi bilioni...
  14. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yakaribia kumaliza adha ya maji Nzasa, Somelo na Zingiziwa

    Takribani wakazi 17,200 wa maeneo ya Nzasa, Somelo na Zingiziwa katika Wilaya ya Ilala wanatarajiwa kunufaika na huduma ya maji safi na salama baada ya Mradi wa Maji wa Nzasa–Somelo kufikia asilimia 95 ya utekelezaji. Mradi huo unahusisha uchimbaji wa kisima kipya cha maji katika eneo la Ofisi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA kubadili taswira ya usafi katikati ya Dar

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa uondoshaji majitaka wa Buguruni, ambao umefikia asilimia 30 ya utekelezaji na unalenga kuboresha huduma za majitaka pamoja na usafi wa mazingira kwa wakazi wa maeneo mbalimbali ya...
Back
Top Bottom