Ok naenda kusalimia na pia kikaz about passport nilisha kata nashughulikia visa tu mkuu asante we muelewa achana na hao wa China wasio elewa lugha yao washamba wa mbagala[emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji3]
We huja kua so that's why unaniambia nikue kua kwanza hafu nikufuate kkua mkuu nahitaji usha uli wako not anything else and then bro I like people who respect someone I think so u have no respect or you don't know meaning of that word respect ok
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo mtoa mada ashuku liwe kwa aina yake maana watu wengine hawakua na mudi ya kutukana wametukana weme zarau we huoni nimekutoa mawazo kwa aina yake kueni na shukulan [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza asante mkuu kwa ushauli wako nauwezoo wa kuongeza kama dollars 5000 au 4000 itakua bado tu kwa kupata sehem kwakuji egesha kwa siku kadhaa na paku lala kwa sababu wakat naji egesha nitatafuta cha kufanya ama job yeyote ile siko lle mama naomba ushauli wako Mr
Sent using Jamii Forums...
Afu wana jf kama mnakumbuka maneno ya wahenga yalisema HV kitu ukitamkacho ulisha wahi kukifanya nahisi huyu ndugu labda kasha wahi kuolewa huko kwakua unani shaul nisije kuolew kama ww asantee pia kwa hiloo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok nakujib ifuatavyo !
1.I'm businessman or I'm student i can't describe more I dislike to writ more word like a gazeti
2.Nina ndugu na Nina mwenyej huko niendako
3. Sina documents hizo kiukwel
4. Sija wahi kusafir hii ndio Mara yang ya kwanza
Maana nikisema nitilikike itakua sio tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.