Recent content by Davson Lucas

  1. D

    Matokeo ya kidato cha nne 2013

    Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2013 Yanaweza Kuwa Mazuri, 2muamin Tu Mungu Atasaidia. Kueni Na Aman Wahitimu Wote, Mcwe Na Shaka Utavuna Ulichopanda.
  2. D

    Matokeo ya kidato cha nne 2013

    Jaman Kuwen Na Aman Wanafunz Wenzang, Haya Matokeo Ni Kitu Cha Kawaida Ucwe Na Hofu Wala Waswas Yeyote Ile. Nawasihi Kuweni Wavumilivu Yatatoka Tu. Mtu Unapopanda Cku Zote Unategemea Kuvuna, Kwa Hyo Hata Sisi Tuwen Na Matumaini Ya Kuvuna Mazao Bora.
Back
Top Bottom