Recent content by davina

  1. D

    JamiiForums Tanzania Maskini mke wangu kumbe ulitoa mimba? Kwanini sasa hukunambia nifanye maamuzi?

    Vipi kana kusingekuwa na kusamehe wewe ungekuwa unahesabiwa mangapi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu

    Asante wangu kuna watu walinishauri sana na nikawaelewa sasa hivi naishi kwa amani sijali michepuko yake naona nae kaanza kuikataa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu

    Nahisi anajirudi haimini kama naweza kuigno mambo yake na nikaonesha furaha bila kuyajali
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu

    Habari zenu wapendwa, Namshukuru Mungu ananipigania. Niwape fidback ya ndoa yangu . Mume wangu alirudi ile ile tare 24 hakuwa na pasport wala document yyte inayoonesha siku alipowasili tanzania alizificha na mpaka leo pasport yake sijawah iona. Kikubwa nashukuru kwa ushauri wenu kwani...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana kuhusiana na Mume wangu,Mungu sasa simama wewe

    Hapa nimepata nguvu kwa ushauri wenu,nipo kazini kwangu natafuta pesa kwa nguvu zote,time will tell,Mungu awabariki kwa ushauri mzuri nilichochukua nimechukua,nitawapa feed back
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana kuhusiana na Mume wangu,Mungu sasa simama wewe

    Asante kwaushauri mzuri,kwamba hata nikijua nikwel alibana sehemu what am gona do!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana kuhusiana na Mume wangu,Mungu sasa simama wewe

    Asante kwa kunitia moyo pengine labda kuna nchi kaenda lakini naamini huyo mwenyeji alimpeleka hadi air port
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana kuhusiana na Mume wangu,Mungu sasa simama wewe

    Watoto wake wengine aliozaa huko kabla hajanioa mimi nilimshauri awachukue naishi nao wawili,,nawaonea huruma pia coz nao wamenizoea,na wananitegemea kama mama yao!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana kuhusiana na Mume wangu,Mungu sasa simama wewe

    Huo ndiyo ukweli kanichukua nikiwa mtoto mdogo,maisha kanifundisha yeye kama baba yangu,,dats y naumia sana
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana kuhusiana na Mume wangu,Mungu sasa simama wewe

    Hana pa kwenda, anatumia tu vicent alivyokuja navyo vikiisha atarudi hapa ndio nyumbani kwake ndivyo naamini na pia asiporudi kabisa maisha yatakuwa na maana zaidi kwangu
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana kuhusiana na Mume wangu,Mungu sasa simama wewe

    amina niombee pia
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana kuhusiana na Mume wangu,Mungu sasa simama wewe

    Siwezi kujisifia ila nachoamini paka wa porini huwa hafugiki
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana kuhusiana na Mume wangu,Mungu sasa simama wewe

    Nafahamu hivi alafu ugomvi sijui kama utasaidia, anatumia pesa zikiisha arudi hom
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana kuhusiana na Mume wangu,Mungu sasa simama wewe

    Mwenyeji wake ambaye ndiye alikuwa wanaishi pamoja ndiye kanipigia akataka aongee na jamaa nikamwambia hajafika dar kashangaa coz kungekuwa na tatizo wangejulishwa au wangesikia pia mimi ningejulishwa coz ktk visa huwa kuna namba za watu muhimu kama tatizo likitokea wanajulishwa ,habari ya yeye...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana kuhusiana na Mume wangu,Mungu sasa simama wewe

    Pesa nimetafuta nae tulianza maisha magumu sana
Back
Top Bottom