Awe freemasons asiwe WALIO wengi mliowatia ULOFA na WANAMKUBALI hamuoni hata picha tu. Hatukani mtu hajibu hovyovovyo hizo chache ni moja kati ya zilizo nyingi katika SIFA za KIONGOZI. Kuwa mkweli tupe hata sifa moja ya kiongozi unayoijua na kuweza kuitetea hata hiyo ya u freemasons huenda...
Haiwezi kutawala milele we huoni watu walivyobadilika?!!! kuna wakati inabidi uwe mpole siyo mambo ya kizamani ati Urais upinzani badoo hizo ndoto na ukale angalia mambo yalivyo mnapingana na ukweli unajua mnajifunza ktk nini....... ajali mbele kwa mbele>
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.