Wana jamii mimi ni me 25 nakaa kwa wazazi nasimamia duka la jumla toka nimeanza kusimamia ni miaka 4 kwenda 5,
Sasa baba anataka kunifungulia duka la hardware hapa mjini ila nikiangalia maduka ya namna hiyo yapo mengi sana hapa mjini Kuna madogo ya kawaida na makubwa sana kama Kuna hili moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.