Haina Shida kama mawazo yako ni hayo, lakini lengo ni kusaidia na Kwa wanafunz kipindi cha orientation tutakuwa na banda chuoni kwa ajili ya kusaidia kufanya usajili bureeeeee kabisa. Taasisi ya kidini.mtajua mkifika
Si mm napanga ninachofanya napendekeza jina ili apangiwe free of charge wala siitaji anijue au nimjue, ni kwa faida yake, ili kuamini ninachosema mtafute mwanafunz WA Ardhi yeyote atakujuza vizuri, tuache ushabiki wa mitandao
Kwanza kabisa nawakaribisha chuo kikuu cha ARDHI. Aminini mmechagua sehemu sahihi ambayo wachache hupata fursa.
Lakini chuoni kuna uhaba wa malazi,unapokuja kichwani uwe unajua hilo.na huenda wiki ijayo wakafanya allocation ya vyumba Kwa wanafunzi. So kama unataman kukaaa ndani hostel za chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.