Ndugu kwanza sijaja kumtangaza mtu nmekuja humu kuelezea tu mkasa wangu...nashangaa mnaojishuku na wala siwez kutowa namba ya mtu......Kuhusu pesa usidhan kila mtu anatumia namba ilyosajiliwa kwa jna lake wengne wemesajil na Id za dada zao..nmejb kdg ila sipo humu kubishana na mtu na sijamwita...
Ndugu nmekuja kushare na watu mkasa wangu sijaja kwa hayo sorry....
Wala sijamfata mtu humu ndomana nlpotuma nlokuwa busy na yangu kiu yangu tu kuelezea kwa jamii niliyopotia
Mke wangu baada ya kuckia hali yangu imekuwa nzuri alirud kuomba samahani na akasema shetani alimpitia hata kwenda kwa mwanaume mwengne akijuwa lazima nife ...ndugu yangu n machungu na maumivu nloyopitia nam nkamwambia basi endelea kuwa na uyo mtu maana siwez kushare na shetani ataendelea...
Habari Ndugu zangu......
Kwa jina naitwa David Mwakisese ni mzaliwa wa Mbeya ila nipo dar kimaisha umri wangu ni miaka 40 nmeamuwa kwa hiyari yangu kushare nanyi jambo hili lilonitokea maishani mwangu.....
Mwaka 2015 nilianza kupata homa ambazo kikawaida nilizochukulia hivyo kama kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.