Recent content by David Goldian

  1. David Goldian

    JamiiForums Tanzania Soko la muhogo mkavu

    Nipo dar ila mzigo upo pwani msata
  2. David Goldian

    JamiiForums Tanzania Soko la muhogo mkavu

    Nashukuru sana ndugu yang kwa ushauri wako we unapatikana wapi na pia kwa sasa siwezi Pata njia mbadala la ya kuuza labda hata makampuni mbali mbali nchini ina maaan soko la muhogo mkavu kwa sasa hamna kabisa aisee naona ulobaki shamban nisifikilie kuukausha kabisa
  3. David Goldian

    JamiiForums Tanzania Soko la muhogo mkavu

    Habar ndugu Zangu natumaini mnaendelea vizur na poleni na majukumu ya siku nzima ningependa kujua soko la muhogo mkavu ninazo kama Tani 15 na bei yake kwa kilo tafadhari asanteni sana
Back
Top Bottom