Recent content by David 001

  1. David 001

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Alafu kwa wale ambao walikuwa wakifatilia hii trend tokea mwaka jana watakumbuka ya kwamba nilisema kitu ambacho adi asaivi sina cha kuongeza wala kupunguza( "Amini kwamba watu wameshakaa chini wakabuni mazingira yao ya kuupiga mwingi kwenye chaguzi zijazo tena mm ninaona. Kabisaa watu...
  2. David 001

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Amini kwamba watu wameshakaa chini wakabuni mazingira yao ya kuupiga mwingi kwenye chaguzi zijazo tena mm ninaona. Kabisaa watu watakaoitwa kwenye iyo ajira watakuwa ni wengi saana tu kutoka uraiani tena bila kupiganisha Wala nn so apo kinachoitajika ni stamala tu na kunywa Maji mengi ili...
  3. David 001

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ñdio hapo hata mm sielewi man mda mwinginé unaweza ukakuta símu hazipatikani kwasababu ya mtandao au zimezima chaji Sasa wakitumia mfumo wa kupigia watu simu hawaoni kabisaa ya kwamba itakuwa ni ugaigai
  4. David 001

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kwaiyo mwendo ni ule ule wa calls Au PDF itausikà nn jah!¡¡!!!???
  5. David 001

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Sasa uo mkeka uko wap na ni wa Jw Au PT
Back
Top Bottom