Recent content by Davedone

  1. Davedone

    Soko la mayai ya kienyeji (kiini cha njano na sio chotara)

    Sawa ahsante mkuu. Ngoja nitafte mwenyeji uko coz npo Arushaa
  2. Davedone

    Soko la mayai ya kienyeji (kiini cha njano na sio chotara)

    Habari za jumapili, poleni na kazi za wiki nzima. Nataka kuanzishaa biashara ya kuuza mayai ya kienyeje yale local kbss yani kiini cha njanoo na sio chotaraa. Naombeni ushauri ni wapi naweza pata soko lakee. Nawasilishaa ndugu zangu.
Back
Top Bottom