Habari zenu wakuu, natumaini mpo njema kiafya mpaka muda huu mnasoma uzi huu.
Naenda direct kwenye lengo la uzi huu, juzi nilinunua bidhaa (kifaa cha umeme) yenye thamani ya TZS. 520,000/= lakini leo nilipojaribu ku-scan barcode kwenye box lake haileti information zozote, nimepata wasiwasi kuwa...