Exactly, kama hujaingia kwenye mfumo huwezi jua,, wakati naajiriwa nilipoona basic nikajisemea kuwa hapa naenda kujimeki na kutengeneza maisha yangu haraka sana, alooooh, sikujua kuwa Kuna basic and take home nilichoka😃
Sidaiwi chochote bro, nimeweka sawa kuwa natamani kukopa afu ndo nitembee na sitaki kuanzia kufuatilia et mafao naona yatanitoa kwenye focus nataka nikitoka nimetoka naenda kwenye ku implement project zangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.